Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro, Lusingi Sitta akitoa maelezo kuhusu uwekezaji wa Benki ya CRDB kwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela wakati wa kongamano la uwekezaji lililofanyika mjini Morogoro. 
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro, Lusingi Sitta akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu uwekezaji wa Benki ya CRDB katika kongamano la uwekezaji lililofanyika mjini Morogoro.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Stephen Kebwe akikata keki kuashiria makaribisho kwa wawekezaji katika hafla iliyoandaliwa na Benki ya CRDB (Dinner).
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Uwekezaji mkoani Morogoro wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Benki ya CRDB katika banda la benki.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...