Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Fabian Daqarro akijitambulisha na kuongea na wananchi wa Kata ya Daraja II, katika Mkutano wa kujitambulisha na kusikiliza kero zao kwenye viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20,2016.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Gabriel Fabian Daqarro akijibu kero mara baada ya kuzipokea kutoka kwa wananchi wa Kata ya Daraja II, katika Mkutano wa kujitambulisha na kusikiliza kero zao kwenye viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20, 2016.
Diwani wa Kata ya Daraja II Ndg Prosper Msofe akijibu moja ya kero ,mara baada ya Mkuu wa Wilaya kumtaka atoe ufafanuzi.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Gabriel Fabian Daqarro akipongezwa na Katibu wa CCM Kata ya Daraja II Ndg Kifumba ,mara baada ya kujibu kero za wananchi katika katika Mkutano wa kujitambulisha na kusikiliza kero zao kwenye viwanja vya mwisho wa lami leo Septemba 20,2016.
Mara ikafika muda wa kuagana kwa kupiga picha ya pamoja na wananchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...