Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa, Dk. Pindi Chana, akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi ya
Global Partners Governence, Greg Power kabla ya kuanza mazungumzo, leo
jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalihusu namna CCM itakavyoweza
kushirikiana na Taasisi hiyo ya masuala ya uongozi, katika nyanja
mbalimbali. Wengine kulia ni Meneja Mradi mwandamizi wa Taasisi hiyo,
Nedjma Ouerdane, na kushoto ni Assifu Lompo pia kutoka Tassisi hiyo.
Katibu
wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana, akiwa katika
mazungumzo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Global Partners Governence, Greg
Power, leo jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalihusu namna CCM
itakavyoweza kushirikiana na Taasisi hiyo ya masuala ya uongozi, katika
nyanja mbalimbali. Wengine kulia ni Meneja Mradi mwandamizi wa Taasisi
hiyo, Nedjma Ouerdane, na wapili kushoto ni Assifu Lompo pia kutoka
Tassisi hiyo.
Katibu
wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana, akiwa katika
mazungumzo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Global Partners Governence, Greg
Power, leo jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalihusu namna CCM
itakavyoweza kushirikiana na Taasisi hiyo ya masuala ya uongozi, katika
nyanja mbalimbali. Wengine kulia ni Meneja Mradi mwandamizi wa Taasisi
hiyo, Nedjma Ouerdane, na wapili kushoto ni Assifu Lompo pia kutoka
Tassisi hiyo.
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa, Dk. Pindi Chana, akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi
wa Taasisi ya Global Partners Governence, Greg Power na ujumbe wake
baada ya mazungumzo na ujumbe huo leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Meneja Mradi mwandamizi wa Taasisi hiyo, Nedjma Ouerdane, na kushoto ni
Assifu Lompo pia kutoka Tassisi hiyo. PICHA NA BASHIR NKOROMO
Governance badala ya governence
ReplyDelete