Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano  wa 71  wa Baraza Kuu la  Umoja wa Mataifa,  Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Mhe. Waziri Augustine Mahiga (Mb)   akipewa taarifa  na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Katika Umoja wa Mataifa  Balozi Tuvako Manongi kuhusu   majadiliano ya Baraza Kuu la 71 yanayoanza Septemba  20 pamoja na mikutano  ya pembezoni  ambayo kiongozi  huyo  wa ujumbe wa Tanzania atapashwa kuhudhuria  na kushiriki  ikiwa ni pamoja na kulihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.  Mkutano huo  ulihudhuriwa pia na  Balozi  Wilson Masilingi, Balozi wa Tanzania Nchini Marekani  pamoja na   Maofisa  kama wanavyoonekana pichani. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...