Meneja wa Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Shanta Gold Mine Ltd mkoani Singida Philbert Rweyemamu akitoa maelekezo ya awali kabla ya kuanza kwa zoezi la kuwalipa fidia wanufaika wote
Watendaji wa kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Shanta Gold Mine Ltd wakifanya maandalizi ya malipo hayo katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ikungi
 Baadhi ya wananchi wakisubiri maandalizi yakamilike ili wakabidhiwe mlungula wao. Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...