Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
(pichani kushoto mstari wa mbele) akicheza muziki wa Kwaito na Wachezaji
walioshiriki mashindano ya klabu bingwa Tanzania ( ligi daraja la
kwanza netball) yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.
Mashindano hayo yamemalizika leo kwa timu ya uhamiaji kuibuka washindi
kwa kuifunga Polisi magoli 44 kwa 40.Picha kwa hisani ya Anna Nkinda.
Mashindano
ya klabu bingwa Tanzania ( ligi daraja la kwanza netball) yamemalizika
mshindi wa kwanza uhamiaji ambaye ameshinda dhidi ya polisi kwa magoli
44 kwa 40
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...