Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nasikitika kuona watu kama Lema wakipewa nafasi ya kuongea na taifa kuhusu masuala muhimu kama utungaji wa sheria. Kwa kifupi ni kuwa huyu hakustahili kuwa mbunge. Uwezo wake wa kutafakari mambo mzito ni mdogo sana, ukiachia mbali kiwango kidogo cha usikivu anachoonyesha. Ni dhahiri hajui kuwa mswada huo wa sheria tayari umepitishwa katika majopo kadhaa ya wadau wa sekta ya habari na kutoa maoni yao. Hoja kuu ni taarifa za ukweli na uhakika kama component muhimu katika upashanaji habari. Lema anang'ang'ania kuwa mswada huo utazuia uandishi wa "makala" na kufumba midomo ya waandishi. Swali ni je waandishi hutumia aina gani vyanzo gani kupata vya kuandikia makal zao? Je ni uzushi au taarifa na matukio ya kweli? Hapo ndipo watu wa aina ya Lema wanapochemka. Hakuna sehemu yeyote duniani ambapo sekta ya habari imeruhusu makala ziandikwe kwa speculations za wahariri au uzushi wa waandishi. Kuna baadhi ya nchi sheria zinataka wazushi na waongo katika sekta ya habari wafungiwe maisha na hata kunyongwa kulingana na aina ya uzushi waliofanya na hatari wanazoweza kusababisha. Ankal michuzi, wewe pia ni mwandishi tena katika picha, wajua ni jinsi gani yakatazwa kuedit picha ili uipost kukidhi mahitaji yako. Facts na ethics katika uandishi ndio msingi...ignorants wa media laws kama kina Lema hawalitambui hilo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...