Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msigwa akimkabidhi madawati 537 Meya Wa Manispaa hiyo Mh. Alex Kimbe yaliyotolewa na taasisi ya bunge kwa wabunge mjini Iringa.
Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msigwa katika picha ya pamoja na Meya Wa Manispaa hiyo Mh. Alex Kimbe baada ya kukabidhi madawati hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...