Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Usalama na
Mazingira(mazingira), wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Melania
Sangeu akitoa maelekezo kwa Eng. Peter Bululu ambaye ni mhandisi wa miradi ya
barabara mkoani Manyara katika eneo la mpaka wa mkoa wa Manyara na Singida alipokagua
usalama wa mazingira ya barabara hiyo.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Usalama na
Mazingira(mazingira), wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Melania
Sangeu akitoa maelekezo kwa Eng. Peter Bululu ambaye ni mhandisi wa miradi ya
barabara mkoani Manyara kuhusu umuhimu wa kutochimba mawe na mchanga katika
meneneo yaliyo karibu na miundombinu ya barabara, umeme, mwasiliano na maji ili
kulinda usalama wa watu, mazingira na miundombinu yenyewe.
Wakazi wa Bombab-Katesh Hanang mkoani Manyara
wakibomoa mwamba ili kushusha mawe katika eneo la machimbo ya mawe ambalo ni
hatari kwa afya ya mazingira na usalama wa watu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...