Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) ambapo alitoa wito kwa wadau mbalimbali katika sekta ya habari kutoa maoni ili kuuboresha
Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016 (The Media Service Bill, 2016) uliosomwa kwa mara ya kwanza leo Bungeni Mjini Dodoma, Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas.

Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa Michezo Mhe. Nape Nauye (MB) katika mkutano aliufanya na kutoa wito kwa wadau kuboresha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016 (The Media Service Bill, 2016) uliosomwa kwa mara ya kwanza leo Bungeni Mjini Dodoma. 
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...