Bendi Maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni wanatarajiwa kutuo katika kisiwa cha Monaco kufanya show maalumu kwa mwaliko wa Yacht Club ya Monaco,bendi hiyo itawatumbuiza
mabwanyeye hao katika kisiwa hiko cha kuponda raha siku ya jumamosi 10 September 2016 usiku hadi asubuhi. Pia habari za uhakika zinasema kuwa yule mbwa wao aina ya Bulldog aliyepotea amepatika na kurudishwa kwa mkuu wa bendi hiyo kamanda Ras Makunja.
Usikose kupata muziki at www.ngoma-africa.com
 Kamanda Ras Makunja katika ligwaride
 Safu ya mbele ikishambulia
FFU Ughaibuni na mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ze Ngoma Africa Band bin viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens aka ffu hapo kazi tu hakuna kuremba remba

    ReplyDelete
  2. Ngoma Afrika band wanawakilisha kimataifa,kikamanda ketu kinatisha

    ReplyDelete
  3. Wazee wa kushambulia kimataifa ze ffu-ughaibuni jamaa imara kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...