Meneja wa benki ya NMB Tawi la Songea mkoani Ruvuma Colman Kiwia  aliyekaa kushoto, akifuatilia mada mbalimbali kutoka kwa maafisa wa Benki hiyo kanda ya kusini wakati wa kikao kati yao na  wajasiriamali wadogo na wakati kilichofanyika jana katika Hotel ya Herteg Cottage mjini Songea.
  Mmoja kati ya maafisa wa Benki ya Nmb kutoka kanda ya kusini  Mtwara akitoa mada  kwa wadau wa benki hiyo katika kikao kilichofanyika mjini Songea jana.
 Mjasiriamali mdogo kutoka wilaya ya Mbinga mkmoani Ruvuma ambaye ni mteja wa Benki ya NMB akizungumza jana wakati wa kikao cha pamoja kati ya wateja wa Benki hiyo na uongozi wa Nmb tawi la Songea na kutoka makao makuu ya kanda Mtwara (NMB BUSINESS CLUB) kilichofanyika katika Hotel ya Heritage Cottage mjini Songea.
 Afisa mikopo wa Benki ya Nmb tawi la Songea mkoani Ruvuma akielezea huduma mpya zilizoanzishwa na benki hiyo wakati wa kikao kati ya uongozi wa Benki  na wajasiriamali wadogo na wakati kilichofanyika  mjini Songea.
Meneja wa Benki ya Nmb tawi la Songea mkoani Ruvuma Colman Kiwia akizungumza na wajasiriamali wadogo na wa kati katika kikao kati ya benki hiyo na wajasiriamali (NMB BUSINESS CLUB)  kilichofanyika katika Hotel ya Heritage Cottage Mjini Songea.
Picha na Muhidin Amri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...