Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kushoto), akitoa zawadi kwa washindi wa Rock City Marathon zilizofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana na kudhaminiwa  na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).
 Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Dk. Leonard Masale (kushoto), akiwa pamoja na baadhi ya waandaji na washiriki wa mbio za Rock City Marathon katika viwanja vya CCM jijini Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella (katikati) akiwa na mwanariadha wa zamani, Juma Ikangaa (kulia), na washiriki wengine wa mbio za Rock City Marathon zilizofanyika jijini Mwanza juzi na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). 
Meneja Matekelezo wa NSSF, James Oigo (katikati) mara baada ya kushiriki mbio za mbio za Rocky City Marathon jijini Mwanza na kudhaminiwa na NSSF.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kulia) akiwa na Meneja Matekelezo wa NSSF, James Oigo (katikati) na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi muda mfupi kabla ya kuanza kushiriki mbio za Rocky City Marathon zilizodhaminiwa na NSSF.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...