Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mimi hufurahi kuona tunadumisha lugha yetu kwa kuongea na kuandika Kiswahili kwa ufasaha. Hivyo basi, huwajibika kurekebisha makosa ninayoyaona mara kwa mara. Maana bila hivyo lugha yetu tukufu ya Kiswahili itapotoshwa na cha kutisha ni kuwa watoto wetu hawatakua na lugha fasaha ya kurithi.
    Mfano hapo juu kwenye kichwa cha habari muandishi amekosea kwa kuandika "wakaazi" badala ya neno "wakazi".
    Tudumishe na kutunza lugha yetu :)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...