Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Paul Makonda, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Ali Hapi na viongozi wengine akitembelea eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa  nyumba za Magomeni Kota  Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa  Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Magufuli akihutubia  alipotembelea na kuongea na wakaazi wa  Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni  jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Magufuli akimwagiza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu kuendelea kuwatoa wapamgaji wenye madeni sugu kwenye nyumba ya shirika hilo wakati  alipotembelea na kuongea na wakaazi wa  Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni  jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.
 Wananchi wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi  wa  nyumba za Magomeni Kota  Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa  Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.
 Kiongozi wa wakazi wa  nyumba za Magomeni Kota Bi Mwajuma  Sama akiongea machache na kuomba dua  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli   alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa  Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016. 
PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mradi wa kuwekeza katika kujenga nyumba za kisasa katika miji yetu ili tuishi maisha yenye staha, ni mizuri kabisa na ya kuungwa mkono. Mradi wa kuongeza mabweni Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam nao unaleta matumaini ya kupunguza kusomea off campus katika mazingira magumu ya kusomea. Utumiaji wa wataalamu wa ndani na vijana wetu katika miradi hii ya maendeleo ni jambo zuri la kuongeza ajira, na kushirikisha wananchi katika ujenzi na kipato kinachoweza kuchangia maendeleo mengine nchini. Shirika la nyumba likusanye kodi ya pango ili kujiendesha na kupata mtaji wa kuboresha makazi nchini.

    ReplyDelete
  2. Vipi kuhusu kanuni za free fair trade.

    ReplyDelete
  3. Sala ya makonda iko inclusive kwa hadhira yote. Haikumpedelea mkristo kwa kuweka maneno ya kikristo japo yeye ni mkristo, hivo kukaribisha waislam. Na pia haikuweka maneno ya kiislamu hivo kukaribisha wakristo. Huu ndo mfano mzuri wa viongozi wa serikali walioahidi kutobagua dini ya mtu. Niamini nimeona viongozi wanafanya maombi ya jumla halafu watumia sala za dini zao. Hii ni nchi ya kisekyula.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...