Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwapungia wananchi na wanaCCM wa Zanzibar jioni hii wakati akiwasili kwenye Uwanja Uwanja wa Kibandamaiti katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu ya Unguja leo.


  Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu(3) ya Unguja

 Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu ya Unguja 
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Shein ni mwungwana na mwadilifu.
    Atamsaidia mpinzani wake matibabu hata kama mpinzani amekataa mkono wa heri kwa sababu Shein anatambua kuwa ni jukumu lake kuwahudumia raia wote hata wasiompenda. Shei anjua kuwa kunyimwa mkono ni kosa lakini haliui, kumnyima mtu matibabu ni kosa na linaweza uwa. Shein hawezi kumnyima matibabu bali anaweza kumnyima mkono tu kwani viko sawia. Akimnyima matibabu kwa sababu ni mpinzani basi watanzania woote tutakuwa na tatizo zito mno.

    ReplyDelete
  2. Tuseme kuwa wapinzani wasipewe haki zao ? Ni jukumu la serikali kuwahudumia walokuwa viongozi wake akiwemo Maalim Seif, sio utashi wa Dk Shein ama ccm, Sheria zinasema hivyo ndugu.

    ReplyDelete
  3. Magufuli John Pombe suala la utawala wa sheria unaoheshinu katiba ya nchi halihusiki kichwani mwake...mwenye macho haambiwi tazama huyu dikteta uchwara asojua aendako.

    ReplyDelete
  4. Kusema kweli silka ya watu wa Zanzibar ni upole, imani na ukarimu. Vile vile hata mafundisho ya kiimani pia yanahimiza upendo, umoja na amani. Kwa mantiki hiyo, kwa vyovyote vile Dr. Shein, kwa utu, ubinaadamu na uungwana alionao, licha ya hizo tofauti zilizopo za kisiasa, abadan asingeweza kumuwekea chuki wala kinyongo na katu asingediriki kuitumia nafasi yake hiyo kulipizia hilo. Vyeo ni dhamana na dunia ni ya kupita. Katu visitufanye kuudharau UTU wetu tukahadaika na mambo ya kidunia na ya mpito. Japokuwa hakikuwa kitendo cha kiungwana ukizingatia ni kwenye msiba, lakini ndio hivyo la kuvunda tangu hapo halina ubani. Tugange yajayo kwani yaliyokwishapita si ndwele.

    ReplyDelete
  5. Ma-phd wanatakiwa wawe mfano wa mawazo wanayotoa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...