Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo akimlamba chenga, Beki wa rTimu ya Ruvu Shooting, Damas Makwaya katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, uliopogwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Simba imeshinda bao 2-1.
Winga machachari wa Timu ya Simba, Shiza Kichuya akijiandaa kuupiga mpira katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, dhidi ya Timu ya Ruvu Shooting, uliopogwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam. Simba imeshinda bao 2-1.
Kiungo wa Ruvu Shooting, Jabir Aziz akimkata ngwala Mshambuliaji wa Simba, Mzamiru Yassin wakati akiwa na mpira kulekea langoni kwao. Ngwala hiyo ilimpelekea Jabir Aziz kuzawadiwa Kadi nyekundu na Mwamuzi wa Mchezo huo, Ngome Mwangole. Simba imeshinda 2-1.
Mwinyi Kazimoto wa Simba akiupokea mpira.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...