SIMU.TV: Wananchi mkoani Mwanza, wametakiwa kuwa makini na watu wanaojifanya kununua ardhi kwa kujifanya wawekezaji; https://youtu.be/9JuSAQkCeUM
SIMU.TV: Serikali wilayani Kaliua mkoani Tabora imewaondoa wananchi waliovamia maeneo ya misitu ya Isawima ili kulinda maliasili hizo; https://youtu.be/mRl3fHzhOi0
SIMU.TV: Wakazi wa jamii ya wafugaji wilayani Monduli mkoani Arusha, wameishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kumaliza migogoro ya ardhi kati yao na wakulima;https://youtu.be/wFBELkvrsQ8
SIMU.TV: Serikali imeahidi kuwawezesha kwa mafunzo watanzania wakiwemo wajasiriamali wadogo ili kuweza kufanikisha Tanzania ya viwanda;https://youtu.be/nlZZufYbeTY
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Dar Es salaam Paul Makonda, amewataka madereva wa bodaboda pamoja na bajaj kuvaa mavazi maalumu yatakayowatambulisha sehemu watokako na wanakopaki; https://youtu.be/kzrt9hEPjDU
SIMU.TV: Wakuu wa idara mbalimbali katika halmashauri ya Ukerewe wametakiwa kubuni miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia wananchi ukali wa maisha;https://youtu.be/MipNYTX08Vk
SIMU.TV: Viongozi wa dini na taasisi zingine mkoani Kigoma wamesema wanaunga mkono jitihada za serikali za kuwabaini watu wote wanaotumia vyeti bandia kujipatia kazi;https://youtu.be/rGgx5qiHIQM
SIMU.TV: Timu ya taifa ya vijana Serengeti boys imefanikiwa kuifunga timu ya taifa ya vijana ya Congo DRC kwa jumla ya mabao 3-2; https://youtu.be/WYWbDhNGIO8
SIMU.TV: Timu ya taifa ya wanawake The Kilimanjaro Queens, imeendeleza wimbi lake la ushindi kwa kuiburuza timu ya taifa ya wanawake ya Uganda kwa jumla ya mabao 4-1;https://youtu.be/wG8HVfrV9Fo
SIMU.TV: Timu ya Stand United wameifunga timu ya JKT Ruvu kwa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa katika dimba la Kambarage mkoani Shinyanga;https://youtu.be/YlokN2qS0EY
SIMU.TV: Timu ya Manchester United imeendelea kuwa na matokeo mabaya baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Watford kwenye mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza; https://youtu.be/RXA511dj_WY
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...