SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa, amepokea msaada kutoka kwa umoja wa watanzania waliosoma nchini China, benki ya Exim na Ubalozi wa Japan kusaidia wahanga wa tetemeko Kagera; https://youtu.be/EX4RpLATa54

SIMU.TV: Watu wasiojulikana wamewaua kwa kuwapa minofu yenye sumu mbwa mwitu zaidi ya 20 katika mamlaka ya hifadhi ya wanyama ya Ngorongoro;https://youtu.be/8DwsrHRNCrg

SIMU.TV: Naibu waziri wa habari Anastazia Wambura, ametembelea ofisi ya mashariki iliyopo Morogoro na kuwaahidi kuwapatia kiwanja ili kuondokana na kulipa kodi;https://youtu.be/pmRDHXKLEa0

SIMU.TV: Gavana wa benki kuu Prof Benno Ndulu, amesema huduma za kibenki kwa njia ya simu zimekuwa kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi;https://youtu.be/KSxEa0xbHls

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Geita Meja Generali Ezekiel Kihunga amewataka wafanyabiashara mkoani humo kurasimisha biashara zao Brela;https://youtu.be/1h7uACpEE2I

Mkuu wa chuo cha kodi Prof Isaya Jairo amewataka watanzania na wahusika wa masuala ya kodi kuzifahamu sheria za kodi ili kuweza kufanya kazi zao kwa weledi;https://youtu.be/2ck2Xo6-Mc8

SIMU.TV: Wafanyabiashara wa vinyago eneo la Mwenge jijini Dar Es salaam, wameiomba serikali kupunguza ushuru kwa wanunuzi wa bidhaa zao; https://youtu.be/tpV4R88Lj5k

SIMU.TV: Soko la hisa jijini Dar Es salaam limelalamikia kupungua kwa mauzo ya hisa kwa asilimia 68 ukilinganisha na wiki iliyopita; https://youtu.be/T_LmW5Zw4nM

SIMU.TV: Makampuni na taasisi binafsi yameombwa kujitokeza kudhamini ligi kuu ya Tanzania ili kuongeza ushindani katika ligi hiyo; https://youtu.be/XviO6GGjtVk

SIMU.TV: Kocha wa timu ya Toto African Logacian Kaijage amesema hashangai kuona timu ya wanawake ya Zanzibar kwenye mashindano ya Challenge kwa sababu bado hawajajipanga kikamilifu; https://youtu.be/EJZB-wtxC2c

SIMU.TV: Timu ya netiboli ya wabunge na TBC Queens wamepanga kucheza mchezo ili kuhamasisha kuchangisha fedha na kusaidia maafa yaliyotokea mkoani Kagera;https://youtu.be/JIqCcoukRoU

SIMU.TV: Fahamu asili na chanzo cha ngoma ya jadi ya Sangule maarufu wilayani Ulanga mkoani Morogoro; https://youtu.be/Gnc1xmv_y7s

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...