SIMU.TV: Serikali imejipanga kuishirikisha mifuko ya jamii kikamilifu katika kuhakikisha mchango wake unatumika kikamilifu kuleta maendeleo na uchumi wa viwanda;https://youtu.be/oPaGUIe2aTM

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Tanga Martin Shegela, ameanzisha mfuko maalumu wa kuwatia motisha wananchi watakaojitolea kutoa taarifa za uhalifu;https://youtu.be/_asz8U86mu0

SIMU.TV: Baadhi ya wahitimu wa JKT kutoka mkoani Kigoma, wamesema wataunga mkono jitihada za serikali katika kupambana na vitendo vya uhalifu na rushwa;https://youtu.be/sjlceUzCJUs

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Generali mstaafu Salum Kiju ameamuru kurudishwa kwa aliyekuwa mhasibu wa wilaya ya Karagwe kuja kujibu tuhuma za ufisadi;https://youtu.be/9NOnh00V33s

SIMU.TV: Mkurugenzi wa halmashauri wilaya ya Mbogwe mkoani Geita Elias Kayandabila amewasainisha mikataba ya ukusanyaji mapato wakuu wa idara zote wilayani humo;https://youtu.be/g1ITq-Qw6l4

SIMU.TV: Kanisa katoliki duniani limemtangaza mama Theresia kuwa mtakatifu huku waumini wa wa kanisa katoliki jijini Dar Es salaam wakisheherekea kwa kufanya maandamano; https://youtu.be/yCHgPTTV4vc

SIMU.TV: Baadhi ya klabu za soka hapa nchini zitalazimika kubadili majina yake kutoka kwenye sports club kwenda kwenye football club ili kuendana na matakwa ya FIFA;https://youtu.be/OkB-0F6G6NY  

SIMU.TV: Baada ya kuonesha kiwango kizuri katika mchezo wa jana dhidi ya Nigeria akiwa na timu ya Taifa stars, wadau wengi wa soka nchini wamemmwagia pongezi golikipa wa timu hiyo Aishi Manula; https://youtu.be/r7dN6upIbKY

SIMU.TV: Kocha wa timu ya taifa ya wanawake Kilimanjaro Queens Sebastian Nkoma, amesema timu yake iko tayari kwenda Uganda kushiriki michuano ya challenge;https://youtu.be/qa5o6nzyNVs

SIMU.TV: Timu ya Taifa ya Uganda imefanikiwa kutinga kushiriki michuano ya AFCON baada ya hii leo kuifunga timu ya Comoro kwa goli 1-0; https://youtu.be/-XtUaaEWt8g

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...