SIMU.TV: Naibu waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi William Ole Nasha, amesema serikali ya Korea na Tanzania zimedhamiria kukuza uchumi wa nchi kupitia sekta ya kilimo nchini;https://youtu.be/mlhJzUfY1d0
SIMU.TV: Mamlaka ya hali ya hewa nchini imetoa tahadhari ya uwepo wa mvua za chini ya wastani kutokana na kuwepo kwa joto la kawaida katika bahari ya Pacific;https://youtu.be/stppZ6SC35k
SIMU.TV: Mkutano wa nne wa bunge la 11 unatarajia kuanza siku ya kesho mjini Dodoma, pamoja na mambo mengine, miswada mbalimbali itajadiliwa baada ya kufanyiwa kazi na kamati; https://youtu.be/Clfvlo525SU
SIMU.TV: Katika kutekeleza agizo la Rais kuhamia mkoani Dodoma, wizara ya nishati na madini imeongeza nguvu ya umeme mkoani humo ili kukidhi ongezeko la watu;https://youtu.be/f7YF9TC8N6I
SIMU.TV: Sekretarieti ya jumuiya ya wazee chama cha wananchi CUF visiwani Zanzibar limepinga maamuzi yaliyofanywa na wazee wa jumuiya hiyo walioko Tanzania bara;https://youtu.be/DrlyoPXTtjE
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Uvinza Mwamvua Mrindoko, ameongoza mamia ya wakazi wa wilaya hiyo kwenye mazishi ya watoto 6 waliofariki jana katika ajali ya moto;https://youtu.be/ygtTM0w09nY
SIMU.TV: Waziri wa viwanda, biashara na uwezekezaji Charles Mwijage amewataka watanzania kutumia bidhaa zilizotengenezwa na viwanda vyetu vya ndani;https://youtu.be/VI3-nfoVU2k
SIMU.TV: Benki ya maendeleo nchini TIB imesaini mkataba na benki ya Posta ili kuwawezesha wateja wa TIB kupata huduma za kibenki kupitia benki ya Posta;https://youtu.be/W6yhCbzSgqQ
SIMU.TV: Benki ya KCB imetoa msaada wa shilingi milioni 75 kwa taasisi ya saratani ya Ocean Road ili kuweza kusaidia ukarabati wa hodi; https://youtu.be/VNppYeGTFKU
SIMU.TV: Wazazi na walezi nchini wametakiwa kuwahimiza watoto kupenda masomo ya sayansi ili kuweza kuongeza watalaamu wa sayansi nchini;https://youtu.be/Up0Xg5NaAMI
SIMU.TV: Makocha 26 wanaoshiriki kozi ya ukocha inayoratibiwa na shirikisho la mpira dunia FIFA wametakiwa kutumia ujuzi walionao kuendeleza soka la wanawake;https://youtu.be/f8RfAogDXS4
SIMU.TV: Chama cha mchezo wa Gofu nchini kimetakiwa kuimarisha mchezo huo kwa wanawake ikiwa ni pamoja na kupata viongozi wake; https://youtu.be/n3g_AGNdacg
SIMU.TV: Mabondia Mohamedi Matumla na Deo Samuel wametambiana kuibuka na ushindi kila mmoja katika pambano lao litakalofanyika mwishoni mwa mwaka huu;https://youtu.be/L5O1Csr1iZw
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...