Mwenyekiti  Shule ya Awali ya Yohane Merlin David Manoti akicheza na watoto
 watoto wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakipata maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa shule hiyo David Manoti
 Mwenyekiti wa Shule ya awali ya Yohane Merlin iliyopo Mbezi Beach David Manoti (wa nne kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya wazazi na Mmoja wa walimu wakati wa ziara hiyo ya mafunzo.
  Baadhi ya watoto wa Shule ya awali ya Yohane Merlin wakiwa wamefika katika ziara yao ya kujifunza na kufanya kwa vitendo kuogelea na mambo mengine ikiwa ni pamoja na Kucheza Michezo mbalimbali.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...