Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu akipokea msaada wa Mabati, kutoka kwa Balozi wa Kenya Bw. Chirau Ali Mwakwere kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Kushoto ni Waziri wa Nchi Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.Serikali ya Kenya imekabidhi mabati 4000,blanketi 400 na magodoro 100.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu akipokea msaada wa mablanketi kutoka kwa Balozi wa Kenya Bw. Chirau Ali Mwakwere. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na Walemavu,Mhe. Jenista Mhagama.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu akipokea msaada wa magodoro kutoka kwa Balozi wa Kenya Bw. Chirau Ali Mwakwere. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na Walemavu,Mhe. Jenista Mhagama.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...