Rais Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi baada ya kukagua akikagua pembe za ndovu 50 zilizokamatwa katika operesheni maalum ya ya kusaka majangili alipofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii (MPINGO HOUSE) jijini Dar es salaam leo Oktoba 29, 2016.
Home
Unlabelled
BREAKING: RAIS DKT MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII NA KUSHUHUDIA PEMBE ZA NDOVU 50 ZILIZOKAMATWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana Mheshima Rais,hao majangili lazima wakiona tembo watakimbia,ujumbe wamepata
ReplyDeleteInatia huruma kuona wanyamapori wetu wanateketezwa kwa tamaa na utajiri wa haraka haraka wa wachache. Tunamshurukur raisi wetu kwa kutilia msisitizo kwenye hilo tatizo.
ReplyDelete