Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh. Benjamin Sitta, akikata utepe katika uzinduzi wa tawi jipya la Benki ya Diamond Trust lililopo barabara ya Mwai Kibaki, Mbezi Chini Jijini Dar es salaam, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Viju Cherian na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Fedha Joseph Mabusi na Meneja wa Tawi hilo Msingo Kimune wakishuhudia. Tawi hilo ni tawi la 12 jijini Dar es Salaam na ni tawi la 26 nchini Tanzania.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh. Benjamin Sitta akiongea na wageni waalikwa kwenye uzinduzi wa tawi jipya la Benki ya Diamond Trust lililopo barabara ya Mwai Kibaki, Mbezi Chini jijini Dar es salaam, Tawi hilo ni tawi la 12 jijini Dar es Salaam na ni tawi la 26 nchini Tanzania.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Diamond Trust pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza hotuba ya Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh. Benjamin Sitta (Hayupo pichani) aliyekuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo lililopo barabara ya Mwai Kibaki, Mbezi chini jiji Dar es Salaam. Tawi hilo ni la 12 jijini la Dar es Salaam na ni tawi la 26 nchini Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...