Kamishna Jenerali wa Jenerali wa Jeshi la Zimamoto Tanzania (CGF) Thomas Andengenye akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dk.Binilith Mahenge ofisini kwake leo.Mkuu wa Jeshi la Zimamoto yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ambapo atakutana na kusikiliza kero na changamoto za askari wa Zimamoto kwenye wilaya za Tunduru ,Songea na Mbinga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...