Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye kulia akiongea na Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba alipotembelea ofisi hizo jana jioni, Mutahaba aliahidi kutatua changamoto ya utoaji wa elimu kwa umma ya kinga na tahadhari ya majanga ya moto inayolikabili Jeshi hilo. (PICHA ZOTE NA FC 
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye watatu kutoka kushoto, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Vipindi,Clouds Media Group,Ruge Mutahaba na Watangazaji wa kipindi cha Jahazi alipotembelea ofisi za Clouds Media jana jioni tarehe 19/10/2016.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye katikati akipata maelezo ya jinsi wanavyoendesha kipindi cha Jahazi kutoka kwa Mtangazaji Ephraim Kibonde alipotembelea studio za Clouds FM jana jioni 19/10/2016.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akiagana na Afisa Mahusiano wa Clouds Media bwana Simon Semalenga kwenye kuhitimisha ziara yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...