Na Humphrey Shao,Globu ya Jamii
Shirikisho
la soka nchini TFF limeweka wazi kuwa beki wa kulia wa Yanga Hassan
Kessy, aliyetokea Simba ruksa kucheza katika ligi kuu ya vodacom
kutokana na kanuni za ligi hiyo kwa kuwa swala kesi ni madai .
Afred
amesema kuwa swala mchezaji huyo aliwezi kumzuia mchezaji huyo kucheza
kwakuwa tayari swala hilo lipo katika hatua ya usuluhushu .
"Lakini
ikitokea usuluhishi alijafikiwa maamuzi hivyo kamati itachukua maamuzi
kwa mujibu wa kanuni zinavyoeleza na majibu nitakuja kuwapatia"amesema Lucas.
Amesema
kuwa Simba katika mkataba wake waliweka kipengele cha kulipa zaidi ya
dola 600 kama faini hivyo tunasubiri maamuzi hayo hivyo kesi anapaswa
kucheza mpaka hapo kamati itakapo toa maamuzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...