Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake, Balozi wa
Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, kabla ya mazungumzo yao
yaliyofanyika leo, Alhamisi, Oktoba 20, 2016, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sudan nchini
Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, akifafanua jambo
wakati alipokuwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es
Salaam, leo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Sudan nchini
Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi,baada ya mazngumzo yao yaliyofanyika leo
katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es
Salaam,PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-theNkoromo Blog
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...