Kaimu mkurugenzi. Wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Bw. Laberto Mbilinyi akizindua kisima cha maji kilichogharimu kiasi cha shilingi milioni tano hapo Jana katika kijiji cha Mchomoro wilayani humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani hicho kisima si wangetengeneza mahali pa kukingia maji. Hapo walipoweka ndoo kuna bonde pembeni mtu akiteleza kidogo tu humo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...