Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya
Zantel, Benoit Janin (katikati),
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa
uzinduzi rasmi wa huduma ya mtandao wa 4G
ambapo sasa miji yote nchini itafikiwa na huduma hiyo. Kushoto ni Meneja Uendeshaji Mtandao, Ahmed
Hassan Abdallah na Meneja Mauzo, Herbet Louis.
Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel,
Hebert Louis (kulia), akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi rasmi wa
huduma ya mtandao wa 4G ambapo sasa miji
yote nchini itafikiwa na huduma hiyo.
Kushoto ni Meneja Uendeshaji Mtandao, Ahmed Hassan Abdallah na Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Zantel, Benoit Janin.
Meneja Uendeshaji Mtandao wa kampuni ya simu za mkononi
ya Zantel, Ahmed Hassan Abdallah (wa pili kushoto), akiwaonyesha waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, jinsi ya kurekebisha simu
na kuwa katika mpangilio wa automatiki wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya mtandao
wa 4G ambapo sasa miji yote nchini
itafikiwa na huduma hiyo. Kushoto kwake
ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Benoit
Janin na Meneja Mauzo, Herbet Louis.
Baadhi ya waandishi
kutoka vyombo mbalimbali vya habari walihudhuria uzinduzi huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...