Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akizungumza na ujumbe kutoka United Arab Emirates pamoja na Watendaji wa Wizara hiyo katika kikao cha kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini, kilichofanyika wizarani hapo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (kulia), akimsikiliza mmoja kati ya wajumbe waliotembelea Wizarani hapo kutoka United Arab Emirates kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini.
Ujumbe kutoka United Arab Emirates ukimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani), katika kikao kilichofanyika Wizarani hapo kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini.
Baadhi ya Watendaji kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani), katika kikao cha pamoja na ujumbe kutoka United Arab Emirates kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...