Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akiongoza kikao kilichoshirikisha kampuni zinazohusika na usambazaji wa gesi majumbani pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC),  Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta (PURA) na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja  nchini (PBPA).
Watendaji kutoka kampuni zinazohusika na usambazaji wa gesi majumbani wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani).
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo katika kikao hicho.
Mkurugenzi Mtendaji kutoka Tanzania Association of Oil Marketing, Salum Busarara akieleza jambo katika kikao hicho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...