SIMU.TV: Naibu balozi wa Ufaransa ametembelea kampuni ya Africa Media Group na kujadili namna ya kueneza utamaduni wa kifaransa kupitia vipindi vinavyorushwa na Channel ten. https://youtu.be/PJYI6ityIFc
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amezindua mpango wa kunywa dawa za kinga ya magonjwa ya Mabusha, Matende Minyoo ya tumbo na Vikope. https://youtu.be/6V4EKRCJ8Us
SIMU.TV: Wananchi katika vijiji vya Nadare na lubwa wilayani Longido wanalazimika kutembea kilometa 25 kufuata huduama za afya. https://youtu.be/-p983Efi8uQ
SIMU.TV: Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom leo wamejitokeza kupima kwa hiyari na kupata ushauri wa magonjwa ya saratani. https://youtu.be/fWY8GAdjnnc
SIMU.TV: Mkutano wa tano wa ushirikiano kati ya nchi za Afrika na Korea ya kusini umefanyika huko Korea ya Kusini ukijadili namna ya kuendeleza nchi za Afrika kupitia sekta ya kilimo na viwanda. https://youtu.be/P8DuKo5H4Vc
SIMU.TV: Wizara ya viwanda biashara na uwekezaji ikishirikiana na mamlaka ya biashara TANTRADE imeandaa maonesho ya viwanda vilivyopo nchini ili kutangaza fursa zilizopo kwenye sekta hiyo. https://youtu.be/cHOIj7Qdvn0
SIMU.TV: Wadau kutoka taasisi za kiserikali na asasi za kiraia wametakiwa kutoa mapendekezo ya kuandaa sera mpya ya uwezeshaji kwa wananchi. https://youtu.be/IZH2lkz1lyg
SIMU.TV: Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga kesho inatarajia kuingia uwanjani kucheza na JKT Ruvu ikiwa ni mchezo wake wa kiporo. https://youtu.be/aDrXpfbO0cA
SIMU.TV: Bondia kutoka nchini China amewasili nchini kwa ajili ya pambano lake dhidi ya mtanzania Dulla la kuwania ubingwa wa dunia wa WBO. https://youtu.be/lY-yilIGZXg
SIMU.TV: Kutotiliwa mkazo kwa somo la sanaa na michezo shuleni kunasababisha kuzorotesha afya za wananfunzi pia kupoteza vipaji vya michezo kwa wanafunzi. https://youtu.be/uC05oW25_tc
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...