Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ushauri kwa Mh. Dr. JPM:
    Wewe na Ndalichako wote wasomi na wahadhiri basi leteni mapinduzi ya kielimu. Vichwa hivi viwili ni muhimu sasa hivi kwa maendeleo ya elimu na nchi.
    Ili chuo kipewe hadhi ya chuo kikuu basi kitimize haya.
    1. Kiwe na ushahidi kuwa kimeajiri wahadhiri wa kudumu (mkataba miaka 5+ kwa kila mhadhiri). Na lazima muda huo wa ajira uishe kama mhadhiri hakufanya jinai au kosa la kimaadili.
    2. Kiwe na mtandao ambapo fani zote zinazotolewa zinaonyweshwa na pia CV za walimu wao. Vyuo vingi kwenye ukurasa wa wahadhiri huonyesha "under construction" kwa miaka mingi na mtu anashindwa kuchagua chuo kwa uzuri wa wahadhiri.
    3. Kiwe na miundombinu muhimu pamija na eneo lililopangwa kwa kazi ya elimu. siyo uchochoroni na majengo kama ya shule ya msingi ya 1970s.
    4. Hili umelisema wewe. Kila chuo kiruhusiwe kudahili wanafunzi wakichaguacho bila kupangiwa. Hii italeta ushindani wa vyuo pia ari ya wanafunzi kufaulu mitihani yao ya form VI ili waende chuo bora.
    5. Mtu akifaulu chini ya div II asipewe mkopo bila kujali umasikini wake. Mtu anayekosa hata II ni mvivu hawezi kuzalisha mpaka alipe deni. kwanza ataishia kufeli huko twendako.
    6.......
    7.......
    .
    .
    .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...