Kaimu
Mkurugenzi Huduma kwa Wanachama wa
Mfuko wa Pensheni wa LAPF ramadhani Mkeyenge akizungumza na Waandishi wa Habari
mjini Dodoma kuhusu miradi iliyotekelezwa
na LAPF katika maeneo mbali mbali nchini.
Maabara
ya Kompyuta katika Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo
Baadhi
ya Maofisa wa LAPF pamoja na waandishi wa Habari wakitembelea mradi wa mabweni
katika Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo nje kidogo ya manisapaa ya
Dododma. LAPF imetumia bilioni 39 kujenga baadhi ya majengo na miundimbinu
katika chuo hicho.
Mradi
wa Mabweni katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). LAPF imetumia bilioni 22
kujenga majengo na miundimbinu katika Chuo cha Elimu ya Tiba na Afya chuoni
hapo kwa awamu ya kwanza ya mradi huo.
Moja
ya Vyumba vya madarasa katika Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo (Sehemu ya
mradi wa LAPF). Darasa hili lina uwezo wa kuchukua wanafunzi 520 kwa wakati
mmoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...