Balozi wa Misri nchini, Yasser Elshawaf (kushoto), akifurahi jambo na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa,
alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam kuzungumzia masuala
mbalimbali kuhusu Sekta ya Miundombinu nchini.
Balozi wa Canada nchini, Ian Myles (katikati), akifafanua jambo kwa Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, alipokutana
nae ofisini kwake kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusu Sekta ya
Miundombinu nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...