VIJANA 10 wenye umri chini ya miaka 17 wamefanikiwa kuchaguliwa kwenye majaribio ya wazi yaliyoendeshwa na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC jana Jumamosi katika Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.
Mkuu wa Maendeleo ya Soka la Vijana Azam FC, Tom Legg, anayeendesha zoezi hilo akimhoji mmoja wa vijana hao. Kwa habari kamili BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...