Askari wa usalama barabarani koplo Atilio Choga akiwa anatoa maelezo mafupi ya barabara zilizopo mkoani Arusha na jinsi magari yanavyoingia na kutoka katika siku ya uzinduzi wa wiki ya usalama barabarani ilianza Jana katika viwanja vya sheikh Amri Abeid ,mbele ni mkuu wa wawilaya ya Arusha Fabian Daqarro ambapo alikuwa mgeni rasmi
Askari polisi wa kikosi cha usalama barabarani akimuonyesha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa wilaya ya Arusha jinsi kifaa chakupimia ulevi kwa madereva kinavyo fanya kazi.
kamanda wa kikosi cha usalama barabarani Nuru Selemani akiwa anasoma risala
Mkuu wa wilaya ya Arusha Mhe. Fabian Daqaro katikati akiwa anaandika baadhi ya changamoto alizotajiwa. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA |
Tatizo hapo hakuna Traffic Engneer au Traffic Scientist. Kuna wadau tu. Polisi ni mdau wa sheria na hawezi kutibu tatizo la ajali bila wasomi. Fani hii kuna watu wenye PhD hata hawakaribishwi hapo. Kwa mwendo huu wa UPE tutaendelea kupata ajali zisizo za lazima. Kila gonjwa lina tabitbu wake.
ReplyDeleteI hope JPM kama msomi atutumia wasomi kutatua matatizo.