UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa soka kuwa jioni ya leo umefanikiwa kuingia mikataba na wasshambuliaji nyota kutoka Ghana, Samuel Afful na Yahaya Mohammed. Kusoma habari kamili, fungua link hii: http://azamfc.co.tz/conte…/ azam-fc-yawasajili-afful- mohammed
Home
Unlabelled
AZAM FC YAWASAJILI AFFUL, MOHAMMED
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...