Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu kuipitia upya mikataba iliyoingia shirika hilo na Taasisi mbalimbali na watu binafsi kutokana na baadhi yake kugundulika ikiwa na utata wa maslahi ya shirika hilo. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu, Fortunatus Kapinga na Kulia ni Katibu wa Shirika, Rochus Assenga. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Posta wakimsikiliza Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haruni Kondo, wakati alipokuwa akielezea kuhusu kuipitia upya mikataba yenye utata, iliyoingia shirika hilo na taasisi mbalimbali pamoja na watu binafsi. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu kuipitia upya mikataba iliyoingia shirika hilo na Taasisi mbalimbali na watu binafsi kutokana na baadhi yake kugundulika ikiwa na utata wa maslahi ya shirika hilo.
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta, Fortunatus Kapinga, akitoa ufafanuazi kwa waandishi wa habari walipotaka ufafanuazi wa masuala mbalimbali kuhusu miradi hiyo. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya shirika, Dk. Haruni Kondo na kulia ni Katibu wa shirika hilo, Rochus Assenga. 
Baadhi ya wapiga picha wa vyombo vya habari, wakichukua maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo, wakati akizungumza na waandishi wa habari. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...