Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe amezindua Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe
akielezea majukumu ya Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) kwenye
uzinduzi huo.
Wajumbe wa Bodi ya
Ushauri ya Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) wakisikiliza Hotuba
iliyokuwa inatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini
anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe (hayupo pichani).
Kutoka kushoto Kaimu
Kamishna wa Madini Nchini, Mhandisi Ally Samaje, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Ukaguzi wa Madini Tanzania. (TMAA), Mhandisi Dominic Rwekaza pamoja
na Watendaji wengine kutoka Wakala huo, wakisikiliza maelekezo yaliyokuwa
yanatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia
Madini, Profesa James Mdoe (hayupo pichani).
Mwenyekiti wa Bodi ya
Ushauri ya Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), Charles Sabuni akieleza
jambo katika uzinduzi huo.
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe (kulia)
akimkabidhi mwongozo Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ukaguzi wa
Madini Tanzania (TMAA), Charles Sabuni (kushoto) mara baada ya kuzindua Bodi
hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...