Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Nchini Norway Bw.Eivind Hansen,Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland akiwa na ujumbe aliofutana nao walipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dk.Hallvard Reigstad, Mkuu wa Idara ya Watoto kutoka Hospitali ya Haukeland Nchini Norway akiwa ni miongoni mwa Ujumbe kutoka Nchini Norway uliofika Ikulu Mjini Unguja leo ,[Picha na Ikulu.] 10/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe kutoka Nchini Norway ukiongozwa na Bw.Eivind Hansen, Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland (wa pili kulia) walipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Nchini Norway Bw.Eivind Hansen,Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland akiwa na ujumbe aliofutana nao walipofika Ikulu Mjini Unguja leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...