Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakipata maelezo wakati walipotembelea moja ya Chumba cha Xray katika majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto wakati alipotembelea baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo uliofanyika leo,ambayo yamejengwa kwa ufadhili kuoka Nchini, Uholanzi,Norway na kushirikiana Serikali ya Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Muuguzi katika majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto Jogha Abdalla Ali wakati alipotembelea baada ya ufunguzi rasmi wa majengo hayo uliofanyika leo,ambapo yamejengwa kwa ufadhili wa Uholanzi,Norway na kushirikiana Serikali ya Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea zawadi kutoka kwa Mwakilishi wa Ubalozi wa Uholanzi Teresia Mcha (kulia) katika sherehe ya ufunguzi wa majengo mapya ya Wodi za Kinamama na Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja zilizofanyika leo,majengo hayo yaliyojengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Uholanzi na Norway,(kushoto) Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Hauklend Bw.Eivend Hansen.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...