Sisi tunaamini kabisa kwamba:
TANZANIA IS MORE THAN A WILDLIFE SAFARI COUNTRY.
Sisi tunataka Dar es salaam isiwe tu Transit ama njia panda ya kuelekea maeneo mengine. Tunataka watalii wabaki hapa DAR watudondoshee vidola vyao na sisi tuvipate hapa. Visiishie kwenye mbugani tu. Hivyo basi tumeanzisha libeneke linalojulikana kama katika jiji la Dar au kwa Kimombo "IN DAR ES SALAAM". Mambo yote tisa, kumi BOFYA HAPA

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...