Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi (wapili kushoto) akizungumza na wazazi waliozaa watoto njiti kabla ya Jeshi kuwapa misaada mbalimbali kwa ajili ya kusaidia malezi ya watoto hao waliozaliwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Wapili kulia(aliyebeba zawadi) ni Kamishna Msaidizi wa Jeshi hilo, Maria Kulaya. Picha zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
 Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (kushoto) na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi wakimkabidhi msaada wa soksi na kofia mzazi aliyejifungua mtoto njiti, Fausta Jison katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Kulia ni Mariam Juma ambaye naye alijifungua mtoto wa aina hiyo katika hospitali hiyo. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
 Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (kushoto) na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi wakimkabidhi msaada wa soksi na kofia mzazi aliyejifungua mtoto njiti, Mariam Juma katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

HABARI  ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...