Naibu Waziri wa afya Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangala wa pili kushoto akipokea msaada wa vitanda 50 kutoka  kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Merck ya Afrika ya Kusini Stefan Maron (wa tatu kushoto)  kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda hivyo, magodoro 50 na vyandarua 100.
 Naibu Waziri wa afya Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangala wa pili kushoto akipokea Msaada wa vitanda 50 kutoka  kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Merck ya Afrika ya Kusini Stefan Maron (wa tatu kushoto)  kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda hivyo, magodoro 50 na vyandarua 100.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...