Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (katikati) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Idara mbali mbali za Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo katika  kikao  kilichohusu masuala ya utendaji wa kazi za kila siku katika ukumbi wa Jumba la Wananchi Forodhani
 Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (katikati) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Idara mbali mbali za Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika kikao  kilichozungumzia  masuala ya utendaji wa kazi za kila siku kilichofanyika leo katika ukumbi wa Jumba la Wananchi Forodhani,[Picha na Ikulu.] 17/11/2016.
 Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Nd,Hassan Khatibu Hassan  akitoa mchango wake wakati wa kikao cha siku moja kilichozungumzia masuala ya uwajibikaji katika kazi za kila siku chini ya Mwenyekiti wake Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (hayupo pichani),kilichofanyika leo ukumbi wa Jumba la Wananchi Forodhani,(kushoto) Mkurugenzi Mipango wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd,Mwadini Haji .

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...