Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hebu tuwe waangalifu kidogo. Watu wasishurutishwe kupanda ndege ya ATC kwa vile ni ya Serikali. Sharti iwe na huduma bora na ushindani. Hata mashirika mengine ya ndege ni halali pia na yanasaidia kutoa huduma sote tunayoihitaji. Kuokoa milioni 40 si habari ya maana kwani unaweza uliza huo ujumbe usingeweza kupunguza kama namna nyingine ya kupunguza gharama. Tukumbuke hata mashirika ya biashara binafsi ni wadau nchini.
ReplyDelete