Mke wa rais ya awamu ya tatu Mama Anna Mkapa  (katikati) leo ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya Order of the Smile baada ya serikli ya Poland inayotoa tuzo hiyo inayotambulika Umoja wa Mataifa kutambua mchango wake katika kuwajali na kulea watoto.

Mama mkapa amekabidhiwa tuzo hiyo na Waziri wa Haki za watoto wa Poland Father Andrew jijini dar es salaam na kushuhudiwa na Katibu Mkuu Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Mh. Sihaba Nkinga na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Sophia Mjema.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...